Mimi naamini katika mapenzi ya kweli
Japo sio siri ndoa maana yake ni pro creation lakini wapowatu wana vilema na wanashindwa kuwa na watoto Je hii inawaondolea haki ya kuwa kwenye ndoa?
Suluhisho sio kuacha mke, Yule binti mimi simlaumu. Sisi ndio huwa tuwadanganya hao watoto. Kama kujuta atakua amejuta sana. Amwambie mumewe ukweli kama kweli anampenda ataelewa then wajaribu kutafuta tiba huenda tatizo sio kubwa sana labda akipata marekebisho aweza nasa .
Kama uko makini habari hii inasikitisha sana.