Utofauti wa ada vyuo vya ualimu na mishahara kulingana

Mzee wa upeo

Member
Joined
Feb 4, 2014
Posts
26
Reaction score
12
Serikali imetangaza kuongezeka kwa ada kwa vyuo vya ualimu, walimu wacheti watalipa tsh 300000 badala ya 200000 ya zamani, na 400000 stashahada kwa walimu wa masomo ya sanaa(art) na 600000 kwa stashahada walimu wa masomo ya sayansi,
nachouliza hawa wote walimu wakiajiliwa mishahara inalingana lakini ada walilipa tofauti, kwanini hata mishahara isiwe tofauti, au kwanini ada wasilipe inalingana
AU WANAOPANGA MISHAHARA HAWAANGALII UTOFAUTI WA ADA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…