DarProperty Tz
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 168
- 29
Wengi wa madalali wa nyumba za makazi nchini Tanzania hulipwa ada kuanzia 5% mpaka 10% kwa kila nyumba wanayouza au kupangisha.
Madalali nnchini wanashindana kwenye kila nyanja (kuuza kwa haraka zaidi, kuuza kwa bei ya juu zaidi au kutoa huduma bora zaidi) isipokuwa bei za ada.
Jedwali lifuatalo linaonesha tofauti kubwa iliyopo kati ya bei za ada za madalali kimataifa.
UTOFAUTI WA ADA YA UDALALI WA NYUMBA ZA MAKAZI KIMATAIFA.
[TABLE="class: grid, width: 800"]
[TR]
[TD]NCHI[/TD]
[TD]ADA (KUUZA)[/TD]
[TD]ADA (KUPANGISHA)[/TD]
[TD]MAONI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanzania[/TD]
[TD] 10%[/TD]
[TD] Kodi ya mwezi mmoja (1)[/TD]
[TD] Maelewano[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kenya[/TD]
[TD] 3%[/TD]
[TD] Kodi ya wiki mmoja (1)[/TD]
[TD] Maelewano[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Uganda[/TD]
[TD] 10%[/TD]
[TD] Kodi ya mwezi mmoja (1)[/TD]
[TD] Maelewano[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]South Africa[/TD]
[TD] 7.5%[/TD]
[TD]12% Kodi ya mwezi[/TD]
[TD] Maelewano[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]United Kingdom[/TD]
[TD] 1.5%[/TD]
[TD]10% Mapato ya kodi wa mkataba husika[/TD]
[TD] Maelewano[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]USA[/TD]
[TD] 6%[/TD]
[TD] Moja (1) Kodi ya mwezi[/TD]
[TD] Maelewano[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dubai[/TD]
[TD] 2%[/TD]
[TD] 5% Kodi ya mwezi[/TD]
[TD] Maelewano[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hong Kong[/TD]
[TD] 1%[/TD]
[TD] Nusu ya Kodi ya mwezi mmoja[/TD]
[TD] Maelewano[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]India[/TD]
[TD] 2%[/TD]
[TD] Kodi ya miezi miwili (2)[/TD]
[TD] Maelewano[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Soma makala yote na nyingine nyingi kuhusu milki ya ardhi (real estate)kwenye tovuti yetu; DarProperty: East Africa's Ultimate Property Guide
Tafadhali toa maoni yako kuhusu makala hii, tungependa kujua maoni yako.