Utofauti wa dini ulivyonifanya nikamkosa wife material, nataka kubadilisha dini je, nimerogwa?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Pamoja na kuzurura koote nikadondokea babati mjini nikakutana na binti age 22, binti fulani Mwenye asili ya kigoma but baba yake kazaliwa hapo babati na mama ake pia,

Aisee binti anazo sifa zote za kua wife material mda mwingi amekulia kwa bibi yake maana wazazi wake wako endasaki (ni mji uliopo ndani ndani manyara huko).

Huyu binti kilichofanya nikampenda ni heshima, unyenyekevu, utiifu, msikivu na anao upendo wooote wala sio wa kinafiki, sio kama hawa tulionao mpo kwenye mapenzi but mnakua kama paka na chui hakuna furaha migogoro mingi.

Nature yangu Mimi ni mkorofi sipendagi kona nyingi lakini nilivyofika kwa huyu binti tuliedumu nae kwa muda wa mwaka alinituliza wenge langu loote, kwanza nilishangaa binti wa age ya 22 ni bikra! Sio rahisi binti anayo maadili yote ya dini ya kiislamu kunikubaliaa Mimi mlugaluga tu sio jambo jepesi, upendo niliopata kwake sikuwahi Ku-experience nikaazimia moyoni lazima nimuoe. Binti alikua anajifunza cherehani nikamnunulia ya kwake alikua haombi hela but nilijitahidi kumfanya awe Mwenye furaha vizawadi n.k...

Nilipotaka kumuoa yeye hakua na shida kabisa kibembe kikawa kwa bibi yake na wazazi wake walimuambia neno moja tu ukikubali kuolewa na huyo jamaa TUNAKUTENGA usije hata kufikiri kwamba unao mama zako wala ndugu, binti akaniomba nijifanye kubadilisha dini nislim nimuoe then nitarudi kwenye dini yangu baadaye,

Mimi huyoo nikayeya nikaondoka nikamwambia haitowezekana wasikilize wazazi binti aliliia kilio machozi na kushindwa kula na kulala nikachukua njia yangu nikapata kazi eneo jingine mkoa tofauti.

Ni mwaka umepita sasa nimemmiss Sana Rahma wangu binti asiyejua hata kutumia smartphone taswira yake, upole unyenyekevu umeshindwa kuondoka akilini, kwenye simu hapatikani tokea siku nimeachana nae, Mimi nipo napambana na majambazi na matapeli kila siku vizinga, tunaishi Kama digidigi kila siku kutafutiana makosa, nakosa furaha na tabasamu lako la kipekee sijui uliniroga?...........hauna mfano rahma.

Mwezi wa 12 nimepanga kwenda babati kumtafuta la azizi ua la moyo wangu, nimechoka kugombana, midomo, kuombwa hela daily iwe jua iwe mvua nenda kumchukua rahma wangu.......
Hata Kama nitakuta umeolewa mtoto wangu wa kike nitamuita Rahma.

Ni Mimi prakatatumba etumba etumba abaaabaaabaaa.
 
Mkuu, kama uko serious naye kweli unasubiri mwezi wa 12?
Safiri sasa hivi nenda Babati umfuate huko!
 
OK.
 
Kuna kiazi kimoja kimeniomba vocha ya jero aiseee nilimdharau sana wakati wenziwe wanaanza na vocha za 2,000 hadi 5,000 by the way Rahma wa babati nishachukuwa kwa jumla wewe kaowe Maria mama yake Yesu huko.
 
Mwanaume anaye badili dini kisa mwanamke basi anayo laana ya kuachwa na huyo mwanamke
 
Makaburi ya mwanamke Mkatoliki na mumewe Mprotestanti, ambao hawakuruhusiwa kuzikwa pamoja, Uholanzi, 1888.
20221101_050308.jpg
 
Back
Top Bottom