Utofauti wa Kanisa, Hekalu na Sinagogi

Kutoka Mwakaleli alikotokea Lebhi na kuhamia Suma. Nditu ni kwingine.

Na kwa usahihi zaidi mimi ni ukoo wa Malafyale yaani mfalme. Kinyakyusa Malafyale ni mfalme (king), si chifu (chief)!
Chief anaitwaje kwa Kinyakyusa? Nimeoa kitukuu cha Lebbi
 
Asante kwa Maelezo! Lakini vipi kuna tofauti ya Hekalu na Kanisa, tunapoangazia Mwili wa Kristo?
 
Umeongea vyema
 
Chief anaitwaje kwa Kinyakyusa? Nimeoa kitukuu cha Lebbi
Chifu kwa Kinyakyusa anaitwa ifumu ambaye ni msaidizi wa Malafyale kama ilivyo kwa waziri kumsaidia rais. Mfalme (mtawala mkuu), anaitwa Malafyale. Malafyale hutumika pia kumsema Mungu (Kyala), ambaye ni mtawala wa vitu vyote mbinguni na duniani: Malafyale Kyala, Malafyale Jesu Malafyale gwa kumwanya, nk.

Na kwa Kinyakyusa andika Lebhi na si Lebbi. Maana yake ni Lawi, yaani mtu wa kabila la Lawi katika makabila 12 ya wana wa Israeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…