Utofauti wa "Life long" na "Long life"

Utofauti wa "Life long" na "Long life"

Kulupango

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
288
Reaction score
535
Naomba kufahamishwa tafsiri ya hayo maneno kwenye sentesi, kwa mfano nataka kufungua kimgahawa lakini mbele yajina la mgahawa nataka niweke moja kati ya hayo maneno kama kibwagizo.

Nitumie lipi kati ya hayo
 
Naomba kufahamishwa tafsir ya hayo maneno kwenye sentesi, kwa mfano nataka kufungua kimgahawa lakini mbele yajina la mgahawa nataka niweke moja kati ya hayo maneno kama kibwagizo. Nitumie lipi kati ya hayo


Long life= maisha marefu.
Life long= ya maisha marefu.
 
Long life= maisha marefu.
Life long= ya maisha marefu.
Ahsante sana kiongozi, sasa hapo nimekupta, kwa maana hiyo nataka huduma inayotolewa ndio iwafanye watu wawe na maisha marefu. Ntatumia ipi hapo
 
Back
Top Bottom