Utofauti wa mashabiki wa Simba na Yanga

Huu uzi ni wakipumvavu sana. Kwa hiyo hata hao yanga nao wakija kufanya vibaya utasema na kuanza kusifia mashabiki wa simba kuwa walipofungwa na yanga walitulia
 
Ila tuseme tu ukweli; mashabiki wengi wa simba mnapenda sana kuchonga na kutukana.

Halafu ni wajuaji kupitiliza. Na hupenda siku zote kuona simba inashinda tu! Itokee tu ikafungwa, au kutoa sare; basi ramli chonganishi zinaanza mara moja.
Tunaipenda timu yetu aisee
 
Ndiomana hata yanga ilivyofungwa na vipers walitafuta sababu kujitetea kwamba wamecheza na timu kubwa, ila simba kuifunga st george sio sahihi walichagua timu ya chuo bila kujua kwamba upo uwezekano mkubwa sana wakakutana nayo ccl.
Lets wait and see the time will tell kila mtu ashinde mechi zake wale wanaopenda kusingizia uchawi tutawaona safari hii, mpira ni mbinu tu kama ukishazidiwa mbinu usitafute kujinadi tofaut na matokeo, mbona hata ulaya huko kina liver wameanza vibaya wamesuluhu na vitimu vilivyopanda daraja, barcelona kasuluhu chelsea anasuasua msikariri, tengenezen exposure kwenye mpira inawezekana ikawasaidia kufuta ujinga fulani kwenye vichwa.
 
Kuiita timu kubwa kama yanga kwamba ni timu ya wanafunzi ni dharau na kejeli kubwa sana kwenye mpira,hii inadhihirisha wazi kwamba hawana exposure kwenye mpira, wengi wao wamejua mpira kwakushabikia juzi akiwepo azam kwenye ligi, sasa unabishana na mtu wa 2000 utajifunza nin kutoka kwake.tafuten kujua mpira kwanza ndio mje hapa.
 
Nahisi mleta mada utakuwa na kichwa cha kuku yaani unasahau mapema Sana. Hivi unafikiri jina la Malalamiko fc lilitokana na nini?

Je , unakumbuka usemi wa Luc Eymael wa kubweka kama Manyani ulitokana na nini?

Ukijua chanzo cha hayo majina hautakuja hapa kuleta post za hivi.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Yanga wenye akili wawili tu sasa misukule toka lini ikalalamika,simba wanajitambua,hatukatai kufungwa bali mpira uchezwe,watu wanategeana tusiseme,sisi sio misukule
 
Ila tuseme tu ukweli; mashabiki wengi wa simba mnapenda sana kuchonga na kutukana.

Halafu ni wajuaji kupitiliza. Na hupenda siku zote kuona simba inashinda tu! Itokee tu ikafungwa, au kutoa sare; basi ramli chonganishi zinaanza mara moja.
Kufungwa hatkatai sie tunalia na uchezaji mbovu wa wachezaji.mtu unalipwa milioni tano kwa mwezi unakosa goli unatafuna jojo unatabasamu
 
Mmmhh kumbe kusahau no ugonjwa hatari Sana kwa afya Bora ya aKiLi,Leo Hawa mashabiki wa uToPoLo ambao hawaishiwi viroja na vituko wamestaarabika,nasema hapana,nimashabiki wa timu gani pindi timu Yao ikipata suruhu kwenye mechi,wanakawaida ya kupita press ,na kusema wanaandamana kwenda kupelekA malalamiko Yao kwenye jumba jeupe la Magogoni,? Kuanzia wazee wa timu,akinamama na Jimmy kindoki kauli Yao huwa tumeonewa na lazima,twende kwa mama kupeleka malalamiko Yao.
 
Mashabiki wa Simba wakifungwa wanaangalia madhaifu ya timu yao na viongozi wao na kutoa lawama Kwa wahusika ila yanga wakifungwa na Simba watalaumu TFF hasa karia, watalaumu refa ameongwa ama watasingizia wachezaji wao walihongwa Huwa haeakubali kuwa walizidiwa rejea kipigo Cha goli Tano au nne moja
 
simba timamu wengi
Yanga timamu wawili tu.
 
hujui mpira na hujui hulka na Tabia halisi za mashabiki halisi wa mpira.

Shabiki halisi anaamini ktk ushindi tu na si vinginevyo. Anachohitaji shabiki Ni furaha, furaha inayotokana na ushindi.

Hiyo ya wananchi kukaa kimya Ni umbumbumbu/uzuzu.

Shabiki wa kweli Hana subira.

Msimu huu kimataifa Yanga itacheza mechi nne tu kimataifa na kuaga.

Ukitaka kujua maana ya ushabiki Angalia Manchester United, Liverpool utajua.

Hakuna shabiki wa kweli anaenda uwanjani kufungwa au kudroo.

Mashabiki wa Yanga Ni mashabiki wa timu.Mashabiki wa Yanga si Watu wa kuhoji. Simba Ni mashabiki wa timu na mpira pia. Uongozi na timu wakifanya vyema wanapongezwa wakiboronga Cha moto wanakiona, hiyo ndiyo Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…