Post graduate diploma ni ni diploma inayosomwa baada ya masomo ya degree. Ni kama msasa kwa yule ambaye anataka kusoma field nyingine baada ya kumaliza kumaliza undergraduate. Kwa mfano, mtu aliyesoma B.com, kama anataka kutambulika kama mwalimu lazma apige hiyo kitu.. Nadhani nimejaribu kujibu.