Na Mgunda aache kuuza mechiSiku ukisikia hawa jamaa wamefungwa na timu za ndani,ujue pesa zilizochotwa kwenye viroba kipindi kile zimeisha.
Kwa sasa wala hamna sababu ya kutarajia hawa jamaa kuwa watapoteza mechi yoyote hapa nchini.
Wamekuwa wazuri kudili na baadhi ya wachezaji wa wapinzani wao na waamuzi ili kuwapa ushindi ama ikishindikana kabisa sare kwa namna yoyote.
Utaona KMC wao walipewa pesa kuanzia msemaji wao,na baadhi ya wachezaji ambao ni utopolo lia lia.
Hiyo ni sawa na Geita gold kuna watu walishakula chao na mtaona mchezo utakavyokuwa wa maigizo.
😂😂😂Hii mechi kocha ameiuza hii.
Unamuachaje Sakho nje unaweka kapama?
Unapokuwa mbumbumbu akili yako inahamia makalioni, hizi ndo akili za mashabiki vilaza wasiojielewa, Makolo mkishinda mnashinda kihalali wengine wakishinda ni wanashinda kwa kuhonga? Mnashindwa kuheshimu ubora wa wenzenu mnabaki kupiga ramli chonganishi, ukiondoa wachezaji wenu 8 wanaoanza kikosi cha kwanza ukirudi benchi kuna aina gani ya wachezaji mnaokuwa mnategemea wawape kile kile wanachotoa kina chama na phiri? Na bado mnajilinganisha na yanga yenye kikosi kipana ndani ya uwanja mpaka kwenye benchi, kina chama na phiri wamepigwa pini kwenye mechi na azam mkapoteana na ukiangalia benchi unawakuta wakina boko na nyoni ndo wakainusuru timu utamfunga nani kwa mfano zaidi ya kupiga mayowe hapa jukwaaniSiku ukisikia hawa jamaa wamefungwa na timu za ndani,ujue pesa zilizochotwa kwenye viroba kipindi kile zimeisha.
Kwa sasa wala hamna sababu ya kutarajia hawa jamaa kuwa watapoteza mechi yoyote hapa nchini.
Wamekuwa wazuri kudili na baadhi ya wachezaji wa wapinzani wao na waamuzi ili kuwapa ushindi ama ikishindikana kabisa sare kwa namna yoyote.
Utaona KMC wao walipewa pesa kuanzia msemaji wao,na baadhi ya wachezaji ambao ni utopolo lia lia.
Hiyo ni sawa na Geita gold kuna watu walishakula chao na mtaona mchezo utakavyokuwa wa maigizo.
Unasahau waamuzi wanavyoua move maksudi ili msifungwe?Kwani nyie makolo fc huwa mnakula mgao wa shi ngapi??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu tuambie, zile ngao za jamii zote mbili kitita kilibebwa na fuso ama scania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Timu inayishinda kihalali hushinda hata mechi za kimataifa.Unapokuwa mbumbumbu akili yako inahamia makalioni, hizi ndo akili za mashabiki vilaza wasiojielewa, Makolo mkishinda mnashinda kihalali wengine wakishinda ni wanashinda kwa kuhonga? Mnashindwa kuheshimu ubora wa wenzenu mnabaki kupiga ramli chonganishi, ukiondoa wachezaji wenu 8 wanaoanza kikosi cha kwanza ukirudi benchi kuna aina gani ya wachezaji mnaokuwa mnategemea wawape kile kile wanachotoa kina chama na phiri? Na bado mnajilinganisha na yanga yenye kikosi kipana ndani ya uwanja mpaka kwenye benchi, kina chama na phiri wamepigwa pini kwenye mechi na azam mkapoteana na ukiangalia benchi unawakuta wakina boko na nyoni ndo wakainusuru timu utamfunga nani kwa mfano zaidi ya kupiga mayowe hapa jukwaani
Inawezekana kuwa na ukweli, ninajiuliza lile bakuli la Yanga la michango baada ya JPM kuondoka tu na lenyewe halipo! Kipindi cha miaka mitano ya JPM Yanga iliweweseka sana sana! Hii inatufundisha tofauti kuwa na utajiri wa halali na utajiri wa magumashi! Time will tell!!!Na nyie mlihongwa kutomfunga?
Watu wanahoji kuhusu Simba, je nayo inahongwa na Yanga ili isiifunge?Timu inayishinda kihalali hushinda hata mechi za kimataifa.
Kama una rekodi nzuri ndani na huku una rekodi chafu kimataifa ni dalili tosha ushindi unaoupata ni wa kimchongo.
Simba hushinda na wakati mwingine huwa na wakati mbaya nayo hufungwa.Huo ndio uhalisia wa soka.
Kinachofanyika na utopolo ni maigizo ya mpira kwa kuwa akili zenu ni za nyani hamuwezi kutofautisha maigizo na uhalisia.
Hivi sasa mnatafuta maigizo tena kwa Geita gold.Wachezaji wameshaanza kutoa siri.
Tunasubiri mchezo wa maigizo mwingine dhidi ya Geita gold.Kama muvi za kihindi tu
Haiondoi ukweli kwamba mnatumia pesa nyingi kuhonga waamuzi na kurubuni baadhi ya wachezaji wa timu pinzani,au hata baadhi ya watu wa karibu na timu pinzaniWatu wanahoji kuhusu Simba, je nayo inahongwa na Yanga ili isiifunge?