mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
TFF imetumia busara, imeamua kuahirisha mechi ya simba na utopolo ambayo itapangiwa siku nyingine!! Utopolo walitegemea simba ingepewa pointi 3, raha yao tu ni kwamba wamekwepa kichapo. Kwa kuliona hilo TFF wakaahirisha mchezo, sasa utopolo wamenuna! Hawawezi kugoma tena maana sasa mechi imeahirishwa kwa kufuata kanuni! Wakigoma wanashuka daraja!!