Utopolo mnamsajilia kocha kisha mje kumlaumu akiwapanga hapo baadae kama mlivyolaumu kwa Yikpe?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Kusajili kwa mhemko bila kocha itafanya baadae muanze kulilia huruma ya marefa.
Maana tabia yenu kuwafanya waamuzi wasijiamini ili mfiche udhaifu wenu.

Sasa tunawaambia wazi kwamba hili mnalofanya sasa hivi,msije mkamuangushia lawama kocha wenu baadae.Mpira ni taaluma na inatakiwa iendeshwe kiueledi na siyo kiutopolo kama mnavyofanya.

Nimewatahadharisha msije mkasema hatukuwaambia
 
No way lazima wasajili kutokana na muda ni mfupi. Lazma kocha aje akute wachezaji kutokana na muda wa usajili ni mfupi ila nashauri Yanga lazma wampate kocha atakayekaa zaidi ya msimu mmoja bila kujali watachukua kombe au sivyo ili Sasa ule msimu wa 2021/2022 ndio kocha awe na Uhuru wa kuchagua wachezaji wachache wakuboresha kikosi. Lakini km watachukua kocha ambaye watakuwa na mategemeo ya kuchukua kombe mwakani na wakamtimua kwa kushindwa itakuwa kosa kubwa sana coz kunauwezekano pia wataukosa ubingwa kwa msimu wa 2021/2022 coz pia watakuwa na kocha mpya na mipango mipya. Uvumilivu unahitajika Wana Yanga hamna ujanja.
 
Take 4 and pay for 3.Ndio wachezaji wanaosajiliwa.Ykpe bado yupo?
 
Back
Top Bottom