Kusajili kwa mhemko bila kocha itafanya baadae muanze kulilia huruma ya marefa.
Maana tabia yenu kuwafanya waamuzi wasijiamini ili mfiche udhaifu wenu.
Sasa tunawaambia wazi kwamba hili mnalofanya sasa hivi,msije mkamuangushia lawama kocha wenu baadae.Mpira ni taaluma na inatakiwa iendeshwe kiueledi na siyo kiutopolo kama mnavyofanya.
Nimewatahadharisha msije mkasema hatukuwaambia