Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado kesho ambulency ziwectayari kubeba mashabiki Wa mikia kutokana na Nucliar bomb litakapo fyatuliwa kuanzia saa8 :00 mchana.Bomb hlilo litasafiri kwa kasi ya 10820hm per 0012snd kutokea mitaa ya Maria koo na Twiga (Jangwani) moja kwa moja litaelekea upande Wa mashriki na kilos am bar at I aha kasri LA mikia sc.Hivyo mnatahadharishwa kwa wenye maradh ya moyo kukaa mbali na cm zao,pia kutofungua data kuepuka madhara zaidi.View attachment 1532564Not,,furaha ya mbwa koko hua haidum mkimaliza ku bwekaaaa,tutawapa na maji mshushie kama hutaki bweka
Utopolo ni utopolo tu hawezi badilika senzo ameanza kazi simba tu ,hatua ya mtoano club bingwa tukala za uso so hatufai kwa sasa tunataka mtu wa kutufikisha nusu final so chukueni hiro garasaNa bado kesho ambulency ziwectayari kubeba mashabiki Wa mikia kutokana na Nucliar bomb litakapo fyatuliwa kuanzia saa8 :00 mchana...
Sour grapesUtopolo ni utopolo tu hawezi badilika senzo ameanza kazi simba tu ,hatua ya mtoano club bingwa tukala za uso so hatufai kwa sasa tunataka mtu wa kutufikisha nusu final so chukueni hiro garasa
Unaumia*MASWALI YA KUJIULIZA KWA MASHABIKI WA SIMBA SC*
Kuhusu hisa,naona mashabiki wengi wana jibu kwa ushabiki,moja ya makosa makubwa kuwahi kufanywa ni simba kumuweka mo kama subscriber/shareholder kwenye kampuni ya simba.
Swali,
1.alitumia vigezo gani kuthaminisha hisa za simba kwamba 49% zina thamani ya bil.20??
2.kama simba ni public company, kwanini mo alipewa hisa 49% hata kabla hisa hazijapelelwa kwenye capital market???
3. Mo aliuziwa hizo hisa 49% na nani wakati share za simba hazijawahi kuwekwa kwenye capital market ambako angeweza pambana na miamba mingine yenye dhamira ya kuwekeza hata bil.100 kwenye soka ila akapewa yeye???
3.Mo anasemaje kawekeza billion 20 halafu hazionekani si kwenye akaunti ya club au yake binafsi,fedha hizo zimewekwa wapi???
4.alisema analeta mabadiriko,mabadiriko pekee yqnaonekana kwenye jezi za simba kuwa na mabango ya kampuni za mo,klabu inanufaika vipi kwa kugeuzwa maafisa masoko wa kampuni zake??? Kama alikata mpunga alimkabidhi nani au zililipwa kwa akaunti ipi??
NB. Maswali ni mengi kuliko majibu
*MASWALI YA KUJIULIZA KWA MASHABIKI WA SIMBA SC*

😅😅Unaumia
Nauliza we chura unaumia??
Sisi tunachotaka ni timu kushinda kama saivi hayo mengine ya kwako