Yaani pengo la pointi kubaki 5 wamepaniki kiasi kwangu roho zinataka kuwatoka!
Maelezo ya Manara yanaonesha jinsi hali ilivyo mbaya huko utopoloni licha ya kwamba wanaongoza ligi.
Niwakumbushe tu kuwa michezo michafu wanafanya wao na wajue sheria za soka haziwahusu waamuzi peke yao bali wachezaji pia.
Wao wanapotoa pesa ili wachezaji wa Simba wavunjwe miguu,wanadhani suala hili ni fair?
Tunafuatilia kwa karibu sana huu uhuni na tutawaanika wachezaji wanaokula mlungura wa utopolo ili wawavunje wachezaji wa Simba.
Utopolo wanatangaza wazi kuwa ubingwa kwao ni lazima kwa vyovyote vile.Huyo Manara alikiri wazi kuwa wao sio wajinga waende Tanga wiki moja kisha wafungwe.Kwamba wao watoto wa mjini.Utoto wa mjini maana yake ni nini kama si uhuni kwenye soka?
Kama mmekuja kucheza soka tucheze soka tuache mambo ya utoto wa mjini.Mpira wetu hauwezi kusonga mbele kwa tabia za kipumbavu za kujiita bingwa wa kihistoria wakati mechi za kimataifa unaboronga kila ukipewa nafasi.Huku kuboronga mechi za kimataifa ni ishara tu kwamba ubingwa umeupata kimagumashi.
Timu iliyopata ubingwa kihalali,basi itaonesha ubora wake angalau katika timu 16 bora Afrika na si ya 80.
Kumbuka ubora halisi wa timu ni pale inaposhinda makombe na kufanya vema kimataifa.Tuache huu uswahili wa eti bingwa wa kihistoria halafu unaleta wahuni wanakuja kuharibu soka