Utopolo wanachekesha sana!Kipigo cha Simba wanatapa tapa tu

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Utashangaa sasa hivi Morrison ndo anaangushiwa jumba bovu na wanatoa povu sana juu yake.

Mara wanasema wamelogwa na Simba!Sasa kama wamelogwa,kwa nini kugombana na mchezaji wao waliyembatiza jina la mkuki?

Leo nasikia tena eti wanachunguza wachezaji wao kama kuna muamala walipokea kutoka Simba!Hii inaonesha jinsi gani walivyosajili watu wasiojielewa.Kwani ni nani asiyependa kucheza mashindano ya kimataifa?Mna wachezaji wajinga kiasi hicho kikosini?

Mwisho,hivi kweli kwa akili yenu mnaamini mna kikosi kizuri kwa kiwango cha Simba kiasi kwamba mnakuwa na mashaka na kipigo cha paka mwizi?

Kutokana na ninyi kujukikana kwa majina kama utopolo,utendaji wenu unaanza kuakisi jina lenu pia.Mna safari ndefu sana kama mtaendelea kuendeleza uswahili swahili kwenye mpira.
 
Simba tunacheza mabonanza kazi imeisha utopolo ziiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
kama hauna cha kuandika kaa kimya sio unakuja kuandika shudu tu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…