Utopolo wanasubiri kesi ya Morrison huko CAS! Kesi zilizopo kwenye ratiba hizi hapa!!

Utopolo wanasubiri kesi ya Morrison huko CAS! Kesi zilizopo kwenye ratiba hizi hapa!!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
19.05.21
CAS 2020/A/7510 Daniel Kinyua Wanjiru v. World Athletics
CAS 2020/A/7239 Shabab Al Ahli Dubai Club v. Mauro Alberto Díaz & Club Estudiantes de la Plata
CAS 2020/A/7261 Mauro Alberto Díaz & Club Estudiantes de la Plata v. Shabab Al Ahli Dubai FC
21.05.21
CAS 2021/A/7628 Fabián Hernando Puerta González v. Unión Ciclista Internacional (UCI)
25.05.21
CAS 2020/A/7578 Mol Fehervar FC v. Danilo Pantic & FIFA
25.05.21-27.05.21
CAS 2019/A/6148 World Anti-Doping Agency (WADA) v. Sun Yang & Fédération Internationale de Natation (FINA)
27.05.21
TAS 2021/A/7626 Elia Lina Meschack & BSC Young Boys c. Tout Puissant Mazembe
TAS 2021/A/7627 Tout Puissant Mazembe c. Elia Lina Meschack & BSC Young Boys
28.05.21
CAS 2020/A/7599 FC Kairat v. FC Chertanovo
31.05.21
CAS 2020/A/7443 Mahmoud Abdelmonem Abdelhamid Soltane v. Zamalek Sporting Club
CAS 2020/A/7446 Zamalek Sporting Club v. Mahmoud Abdelmonem Abdelhamid Soltane, CD Aves & Al Ahly Sporting Club
02.06.21
CAS 2020/A/7582 Al Sadd Sports Club v. Parma Calcio 1913 srl (FC Parma)
CAS 2020/A/7583 Parma Calcio 1913 srl (FC Parma) v. Al Sadd Sports Club
CAS 2021/A/7760 André Onana v. UEFA
03.06.21
CAS 2020/A/7442 Gil Vicente Futebol Clube v. FK Rad
TAS 2021/A/7645 EZ Sports S.A.P.I. de C.V (Atlético Morelia). c. Rodrigo Bassani Da Cruz
07 & 08.06.21
CAS 2020/A/7495 Chennai City FC v. Sandro Rodriguez Felipe & FIFA
CAS 2020/A/7496 Chennai City FC v. Adolfo Miranda Araujo & FIFA
CAS 2020/A/7497 Chennai City FC v. Roberto Eslava Suarez & FIFA
15.06.21
CAS 2020/A/7529 Real Sporting Gijon v. AC Chievo Verona
22.06.21
CAS 2020/A/7549 Singapore Karate-do Federation v. World Karate Federation
22 & 23.06.21
CAS 2020/A/7054 Sporting Clube de Portugal v. Rafael Alexandre de Coinceçao Leao & LOSC Lille & FIFA
23 & 24.06.21
CAS 2020/A/7532 Islamic Republic of Iran Football Federation v. Marc Wilmots
28 & 29.06.21
CAS 2020/A/7579 World Anti-Doping Agency v. Swimming Australia, Sport Integrity Australia & Shayna Jack
CAS 2020/A/7580 Sport Integrity Australia v. Shayna Jack & Swimming Australia Limited
29.06.21
TAS 2019/A/6586 Club Alianza Lima, Club Sporting Cristal SA, Club Deportivo Universidad San Martín S.A. c. Federación Peruana de Fútbol
01.07.21
CAS 2021/A/7632 Ahmad Al Kamali v. World Athletics

Utopolo walidanganywa kesi imepangwa rarehe 2 mwezi wa sita hebu itafuteni hiyo kesi kwenye ratiba hata kwa tochi kama ipo!! Iliyopo hapo juu ni ratiba ya kesi za CAS hadi tarehe moja julai.
 
Kesi yake bado haijapangiwa tarehe ya kusikilizwa, ile tarehe 2/6 ilikua ni ya kuwasilisha mapendekezo ya namna kesi itakavyosikilizwa ni kwa MAANDISHI/KUZUNGUMZA. Siku utakapoona kesi 7397 haihusiani na yanga vs Morisson ...utustue
 
Yaani viongozi wa Yanga wanawadharau sana mashabiki wao kiasi cha kuwaona kama maboya fulani tu, kiasi cha kuwadanganya mchana kweupe na menyewe yanaamini!! Utopolo endeleeni kusubiri rufaa yenu CAS!! Labda itasikilizwa mwakani, lakini kwa sasa mkeka wa ratiba wa kesi hadi Julai 1 huo hapo juu!! Wadau wamejitahidi kuwafumbua macho lakini utopolo utadhani wamelogwa bado wataendelea kusubiri kesi! Kisa Mwakalebela alisema!!!
 
U
Kesi yake bado haijapangiwa tarehe ya kusikilizwa, ile tarehe 2/6 ilikua ni ya kuwasilisha mapendekezo ya namna kesi itakavyosikilizwa ni kwa MAANDISHI/KUZUNGUMZA. Siku utakapoona kesi 7397 haihusiani na yanga vs Morisson ...utustue
Utopolo mwingine huyu hapa!! Au yawezekana huyu karaoke ni kiongozi wa utopolo bado anayadanganya, na huwezi amini, utopolo bado wataamini upuzi huu!!! Huwezi kutumia hata akili kidogo tu, kesi ya msimu huu isisikilizwe msimu huu hadi msimu mwingine!! na kwa utopolo bado ni sawa!! Hivi utopolo wanafikiri kwa kutumia ubongo au kamasi?
 
Yanga ndio waliodanganywa Sasa mbona Simba ndio wanao patwa na mchecheto. Yanga wamesha ridhika na uo uongo nyie tulieni msi chachawe.
 
Listi iliyotajwa hapo juu ni kwa kesi katika hatua mbali mbali hata kama ni kuwasilisha mapendekezo. Kila kitu kinafanyika kwa kufuata ratiba! Uto bwana!! Bila ratiba hakuna kinachofanyika. Basi tukubali kesi itasikilizwa mwaka 2022!!
 
uto
Yanga ndio waliodanganywa Sasa mbona Simba ndio wanao patwa na mchecheto. Yanga wamesha ridhika na uo uongo nyie tulieni msi chachawe.
Uto wamelogwa siyo bure! Hata ukiwafumbua macho hawakubali!! Kwa utopolo inaingia akilini kesi yenye maslahi kwa msimu huu isisikilizwe msimu huu hadi msimu ujao!! Hivi kuna mahakama inaweza kupanga hivyo!! Hivi hospitali inaweza kutompangia tarehe ya mgonjwa kumwona daktari ya karibu huku ikijua muda ukizidi anaweza kufa kabla tarehe ya kumwona daktari haijafika!! Akili ya utopolo wanaijua wenyewe tu!
 
Kesi yake bado haijapangiwa tarehe ya kusikilizwa, ile tarehe 2/6 ilikua ni ya kuwasilisha mapendekezo ya namna kesi itakavyosikilizwa ni kwa MAANDISHI/KUZUNGUMZA. Siku utakapoona kesi 7397 haihusiani na yanga vs Morisson ...utustue
Tengeneza kikosi imara, chukua ubingwa uwanjan, na kesi ni ya Yanga dhidi ya Morrison, Simba imemsajiri Morrison kwa kufuata utaratibu wote haina kosa hata moja kt kumchukua Morrison, Ben ana vibali na baraka zote kutoka mamlaka ya soka ndo maana anacheza mpira, Simba hawana mamlaka ya kumfanya Ben acheze bila kuidhinishwa na mamalaka, So ikionekana Morrison ana makosa ataadhibiwa yeye na mamlaka iliyomuhalalisha, So huwezi kupata ubingwa kwa kutegemea njia Hiyo, fight uwanjani ushinde sio kutaka kuchukua ubingwa kwa kuvizia vizia.
 
Utopolo ni kama fisi mwenye njaa, akimwona mtu anatembea na mikono inaenda mbele na nyuma anapata matumaini huenda mkono utadondoka apate kitoweo!! Anatia huruma maana atasubiri sana!! Poleni utopolo!!
 
Kesi yake bado haijapangiwa tarehe ya kusikilizwa, ile tarehe 2/6 ilikua ni ya kuwasilisha mapendekezo ya namna kesi itakavyosikilizwa ni kwa MAANDISHI/KUZUNGUMZA. Siku utakapoona kesi 7397 haihusiani na yanga vs Morisson ...utustue
Mmmh!! Hii ya kwako. Taarifa iliyotolewa na yanga ni kwamba kesi itaanza kusikilizwa tarehe mbili mwezi wa sita.
 
Back
Top Bottom