Utopolo yaaogopa, yakimbia kipigoia

Utopolo yaaogopa, yakimbia kipigoia

Utopologist

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2021
Posts
998
Reaction score
2,506
Mbona hawakususa mechi zao za azam na biashara kubadilishwa muda?

Waache kudanganya watu, utopolo wamekimbia kipigo cha mbwa mwizi kilichokuwa kinawasubiri leo taifa, na kwa taarifa tu, kipigo kipo pale pale.

Ningeomba tff na bodi ya ligi waiadhibu utopolo kwa kukiuka kanuni, sheria ifate mkondo wake.
 
Mkuu, kwa hilo nakataa kabisa Yanga wako sahihi kwa swala walilo lifanya, na ndo maana uongozi kwa kujishtukia wameamua kuhairisha mechi.

Hiyo mechi na Azam timu ziritaarifiwa siku tano kabla ya mechi, kwa hili tuweke ushabiki pembeni kwa masilahi ya soka letu

"SOKA LINAONGOZWA NA VIONGOZI WAJINGA WAJINGA"
 
Back
Top Bottom