Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
"Yanga imejijenga kua kama timu fulani ndogo, Yanga ni moja ya timu kubwa hapa nchini ya kihistoria, lakini sasa hivi wana tabia za timu ndogo.
"Tabia za ndogo siku zote hua wanakamia wanapocheza na timu kubwa, wakicheza na timu za wastani Yanga unawaona ni wa kawaida, wamefungwa mara mbili na KMC .
"Spirit waliyocheza nayo na Simba waliipeleka wapi kwenye mechi iliyofuata na Namungo?
"Hivyo ndio timu ndogo zinavyocheza, lakini Yanga kwa ukubwa wake wanapaswa kua kwenye kiwango walichokuwa nacho wanapocheza na Simba.
"Ndio maana Simba leo wanacheza hivi, wanapokuwa na Yanga wanacheza hivi, wanapokuwa na KMC wanacheza hivi, hii ndio aina ya timu kubwa." -
By Jemedari Said