Utopolo (Yanga)imejijenga kuwa kama timu fulani ndogo

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
"Yanga imejijenga kua kama timu fulani ndogo, Yanga ni moja ya timu kubwa hapa nchini ya kihistoria, lakini sasa hivi wana tabia za timu ndogo.

"Tabia za ndogo siku zote hua wanakamia wanapocheza na timu kubwa, wakicheza na timu za wastani Yanga unawaona ni wa kawaida, wamefungwa mara mbili na KMC .

"Spirit waliyocheza nayo na Simba waliipeleka wapi kwenye mechi iliyofuata na Namungo?

"Hivyo ndio timu ndogo zinavyocheza, lakini Yanga kwa ukubwa wake wanapaswa kua kwenye kiwango walichokuwa nacho wanapocheza na Simba.

"Ndio maana Simba leo wanacheza hivi, wanapokuwa na Yanga wanacheza hivi, wanapokuwa na KMC wanacheza hivi, hii ndio aina ya timu kubwa." -

By Jemedari Said
 
Siku ile ilikuwa ni Waganga (walozi fc) vs Simba, na haitajirudia msimu huu kwa mechi za ligi ila tutegemee kwenye mechi zao za FA waganga kuingia tena uwanjani.
 
Hata kocha wao aliwaambia sema wanakamia sana kwa sababu wengi mikataba yao imeisha
 
Alafu nyie team fulani kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alivizia sana nafasi ya uKatibu Mkuu. Watu wakampiga chini maana ana uMikia.

Haiwezi kuwa ajabu kusema utumbo huo.

Yupo kwenye payroll ya Mikia kuichafua Yanga. Aendelee kula hela zao maana hazina kazi.
 
Me ni simba lakini uyu jemeradi saidi anapenda majungu sana kama kitenge
 
Tako1 wanabebwa balaa msimu uliopita walikataa magoli kibao ya Yanga points kumi zikapotea..msimu huu wanawabeba tako1 kinoma...mechi ya Polisi,Namungo,Azam zote mbili nk na ile na Mwadui FA walishakufa refa akawabeba... Yanga wafanye nini????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…