Utoto katika mapenzi!

yassird200

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2025
Posts
466
Reaction score
813
Wakuu habari zenu, natumai mu wazima wa afya. Changamoto yangu iko hivi niko 20s lakini sijawahi kupata mwanamke seriously wote wanautoto mwingi sana.
Jambo lilonifanya nifikirie kudate na wanawake wakubwa, finally nimempata huyu best ake sister nikidhani yuko matured lakini chakushangaza kila Jambo anasimulia dada yangu mbaya zaidi yuko 30s. Binafsi me ni mtu nisiependa utoto mwingi na kuweka wazi mahusiano yangu jambo hili linafanya nisiwe na amani napata shida hasa kumuangalia sister make utani nimwingi japo sio negative.

Je ni mimi niko nje ya wakati ama niko sahihi hasa amani? NB: natafta namna sahihi yakuachana nae au nakosea wakuu?
 
Mkuu umepiga hata mswaki kweli?
 
Ulishawahi kumlomba huyo rafiki wa Dada ako?
Kama kweli jifunze kulomba vizuri itakua bado hujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…