Utoto katika mapenzi!

Mkuu. japo kuwa sina assets lkn sipo shallow. Nafanyakazi japo ndo namwaka ila situmii pesa yangu vibaya
Achana na habari za hao wanawake kijana, pambania maisha yako, huo ndio umri sahihi wakutengeneza future yako.
 
Amependa unachomfanyia ndo maana anasimulia 😛 huyo ndo mzuri. Mwambie tu asisimulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…