Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Kiukweli mimi utotoni mwangu kukata mwezi mmoja sijaoga ilikuwa ni kitu cha kawaida sana.
Utotoni mwangu kushiba mpaka chakula kiishe.
Utoto mwangu nilijua kila msichana ana HIV.
WEWE KIPI UTOTONI MWAKO ULIKUWA UNAKIFANYA?