Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weka meno yako hapaUtotoni mwangu biscuits, sukari,na pipi ndo nilikuwa naona vyakula bora!!.
Duh dunia ina mambo magumu na mazito tusiyo yajuaUtotoni mwangu nilikuwa sijui jinsia yangu vizuri,nilikuwa nikivalishwa kanga,skirt,vigauni ingawa ni wakiume najiona nimependezaaa!!!.[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hahahah ukaja kugundua kuwa scorpion ni sheeda [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utotoni mwangu nilikuwa naamini hakuna MTU mwenye uwezo na nguvu kumshinda baba yangu!!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ulikuwa nani baba au mama?Utotoni mwangu nlikuwa nikisikia tukacheze kibaba babaa hatakama nlikuwa nakulaaa nakatishaaaa
Dah nataman ningekuwa nacheza na wewe kipindi hichoUtoto wangu niliwahi kusimamia harusi kama bi harusi mdogo nikaamini mvulana niliesimamia nae ndo atakuwa mme wangu tukiwa wakubwa. Hahaaa matokeo yake leo hii nikikutana nae hata sura simkumbuki, utoto raha sanaaa
Mkuuu kidumeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ulikuwa nani baba au mama?
HahahahaaaaDah nataman ningekuwa nacheza na wewe kipindi hicho
HahahahaNilikuwa naamini Babu yetu tuliekuwa tunaishi nae kuwa ndio Mtoto Mkubwa wa Baba japo nilikuwa namsikia Baba akimwita ' Baba' kwa kuwa tu nilikuwa naona yupo tu home hana Mishemishe Kama za Mshua kutokana na Uzee wake!