Utovu wa nidhamu katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama, unaohusisha usiginaji wa Katiba, unahalalisha wito wa “Samia Must Go”

Sikio lakufa halisikii dawa.
Ngoja nikajirembe nipakae na lip stick ,niamke zangu
 
🙋‍♂️✍️👍👌👊👏🤝🙏🎯💐🎁🎖️🏆🛡️👑
 
🙋‍♂️✍️👍👌👊👏🤝🙏🎯💐🎁🎖️🏆🛡️👑
Mkuu umenena, vyombo vya ulinzi vitende haki sawa kwa raia wote. Wanachama wa vyama vya siasa vyote ni watanzania.

Vyombo hivi ni yetu sote, ni vya Tanzania, vimetokana na watanzania na vipo kwa ajili ya watanzania!!

Tunatoa rai kuwa vyombo hivi vifanye kazi yake kwa mujibu wa katiba bila kuegemea upande, kuonea au kubagua watanzania.
 
Juzi nimetoka police aisee watu wanaumizwa sn sn kwa kutakiwa kutoa rushwa kwenye haki zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…