Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Legend wa Real Madrid, Marcelo amevunjiwa mkataba na klabu ya Fluminense miezi miwili kabla ya muda wake kumalizika, baada ya kutokea kutoelewana na kocha Mano Menezes jana Jumamosi.
Tukio hilo lilitokea wakati Menezes alipokuwa akipanga kumuingiza Marcelo uwanjani katika dakika za mwisho za mechi dhidi ya Grêmio.
Hata hivyo, Marcelo alionekana kupinga maelekezo ya kocha, jambo lililomfanya Menezes kubadili uamuzi wake na kumuinua mshambuliaji John Kennedy badala yake.