Utra sound kuonesha majibu tofauti, kulikoni?

BINARY NO

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
2,151
Reaction score
2,162
Hii imetokea kwa rafiki angu mara ya mwisho kupima mimba yake ilikua na wiki 31 mwezi mmoja baadae alivyoenda Clinic majibu ya utrasound yakaonesha wiki 30. Hivi hii imekaaje wadau maana ata daktari nae alishangaa.

Hivi hakuna tatizo hapo? Japo hana tatizo loloto so far na uzito unaongezeka kawaida na tumbo pia.

USHAURI TAFADHALI.
 
Hakuna tatizo hapo tofauti ni ndogo sana hiyo.Hii inatokana na watu wawili kutumia mashine 2 tofauti. Mmojawapo amekosea.
 
Huyo daktari aliyeshangaa amesomea wapi?
 
Pia muda mzuri wa kujua umri kwa ultrasound ni kati ya wiki 22 ,vinginevyo error is probable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…