Utrack

Utrack

Kifulambute

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
2,539
Reaction score
758
Jamani wanao jua mishahara ya hawa jamaa munijuze jamaa yangu kaitwa kwenye interview yao.
 
Utrack hawana kiwango maalum cha mishahara inategemea bargain power yako,ila wabaguzi wanawalipa watu wa nje mshahara mkubwa kuliko wazawa, na kama moyo wako mgumu we nenda tu coz huko matusi na makelele kwa bosi ni salamu ya asubuh, lakin kama unakazi yako nakushauri usiache,watu wengi wanaacha sababu ya makelele na matusi,kama huna kazi kajaribu labda bosi atakuwa kajirekebisha.
Jamani wanao jua mishahara ya hawa jamaa munijuze jamaa yangu kaitwa kwenye interview yao.
 
Back
Top Bottom