Utrack hawana kiwango maalum cha mishahara inategemea bargain power yako,ila wabaguzi wanawalipa watu wa nje mshahara mkubwa kuliko wazawa, na kama moyo wako mgumu we nenda tu coz huko matusi na makelele kwa bosi ni salamu ya asubuh, lakin kama unakazi yako nakushauri usiache,watu wengi wanaacha sababu ya makelele na matusi,kama huna kazi kajaribu labda bosi atakuwa kajirekebisha.