BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Mteja akiwekeza fedha zake kwenye Hati fungane ( security Bond) mkikubaliana ulipwe Kila baada ya mwezi faida,Kuna changamoto mbili.
1) Ukiweka kwenye account Yako ya UTT Hela hazionekani kwenye mfumo mpaka baada ya 2 mpaka tatu. ( Kwakuwa wanatumia system sioni mantiki ya siku tatu Hela hazijaanza kukupa faida) Pia haijulikani zinakuwa zimewekwa wapi.
2) Faida baada ya mwezi kuisha inatolewa kwenye mtaji wako,haijulikani inakopelekwe,mpaka baada ya siku kumi ndio unapewa. Swali kwanini waondoe kwenye account ya mteja Hela za faida,wapeleke kwenye account nyingine isiyo ya mteja kusubiri process ya kumwingizia Hela mteja?
NB. Kwao kukaa na Hela za wawekezaji hata Kwa siku moja ni faida,lakini mwenye fedha anapokuwa hapati faida yoyote ni hizo pesa Kwa muda huo ni sawa na kuwaibia wateja,
Naomba wahusika waondoe kisingizio Cha Process kukaa na Hela ya mtu siku kumi,hujamwingizia kwenye account yake. Mifumo isaidie kurahisisha maisha ya watu.