msakhara
JF-Expert Member
- May 26, 2019
- 277
- 381
Habari wakuu,
kutokana na hamasa niliyoipata hapa jf nikaamua niende UTT AMIS pale sukari house, kupata maelekezo na kuwekeza...
Ila kila swali nililokua nauliza naona nnajibiwa kama nnawakwaza...yaani ni ile huduma ya maliza uondoke [emoji1], wakati pale ni hela ya mtu inahusika...
Poor customer care kama ilivyo kwa agency nyingi za serikali!!!
Hapa nikajiuliza, jamaa wanaaminika kweli!!?? Maana watu wasijewekeza then kufwatilia kuchukua wakaletewa nyodo tena kama hela ya msaada tu!!
Mara ya pili nikaenda kujisajiri na viambata vyangu, nikaambiwa kabidhi hyo form, fungua kwa simu, baadaye naletewa sms, umejiunga kwaajili ya kununua nav tu, hadi hapo utakapo kamirisha usajiri...wtf am in your office , si mnisajiri?[emoji1]...
Kama umewahi fika, nipe experience yako...,kama hujawahi kwenda jiandae kisaikolojia!!