UTT Amis kuna shida gani? App yao haifanyi karibia wiki mbili sasa


Just uninstall and re install again, it should work.
 
Wadau tupeni elimu kidogo, mfuko gani unamfaa aliyeajiliwa, akiwa anachangia 200k kila mwezi,
 
Piga *150*82# then utapewa maelekezo ya kureset password yako
 
Watanzania walio wengi ni wajinga mnoo na inahitajika nguvu ya ziada kuondoa uwo ujinga kichwani mwao
 
Pole sana. Ikiwezekana mtume hata rafiki, ndugu, kijana apite hapo ofisini kwao aulize tu shida ni nini? Unaweza pewa maelekezo ni nini ufanye.
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…