bornthelast
Member
- Jul 11, 2022
- 24
- 15
Habarin wakuu,msaada kwa mwenye kufahamu haya mambo ;
1.Mfano umefungua akaunti UTT-liquid fund na ulishakamilisha usajili ofisini kwao,then baada ya mwaka ukataka ongezea mfuko mwengine mfano bond fund,je inawezekana ?
2.Naomba kujua maana ya hii "growth scheme" naiona kwenye liquid fund kama inavyoonekana kwenye kiambatanishi hapo chini