Utulivu kwenye tendo la ndoa

 
Haiwezi kuwa kila siku hii.kuna zile mida mko moodless kinoma hakuna kinachiweza kufanyika ila kutimiza wajibu tu

Ila nahisi hujaoa.
nina miaka 63 na ndoa ina miaka 35
 
We jamaa mama mkwe Tena?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwisho unogewe uanze kusema mama mkwe we mtamuuuuu.......sifia mkeo achana na mke wa baba mkwe wako
hayo ni manjonjo
 
Watu tumeshavuka level ya haya unayosema wee hapa, sema uambiwee zaidii. Mbona ya kizamani sana hiii.

Unajifunza u kungwiii? Nyakanga wapoo shata shata sema ufundwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
labda wewe ushavuka,usiwasemee wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…