Utulivu kwenye tendo la ndoa

Kungwi kasema anavyokojoa mwanaume amsifie mama mkwe,eti namloanisha mwanao mama mkweee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nitamtia bonge la bao akili ikae sawa
jaribu hii trick utashangaa matokeo yake
 
Mkuu chunga sana akikili Yako. Itakufanya uwe masikini wa kutupwa. Haiwezekani alfajiri yote hii unawaza tendo la ndoa badala ya kuwaza Noti.
pole,usi mjudge mtu usiyemjua
 
kwan hata sisi wa mikoani ambao hatuna muda huo tunahusika 🐒

huku ni moto chini bila mbambamba tena ni kupeleka motro kweli kweli yeye ailie, aimbe ni motro motro with none stop mwendo ni ule ule 🐒

labda nyie wa huko dar 🐒
 
[emoji846][emoji846][emoji846]asee sio kwenye ndoa kabla sijaowa nilikuwa na mawazo kama yako ila saivi natimiza majukumu
Mke namgegeda ili asinune tu basii..
basi kuna mwenzio anamgegeda ili afurahi
 
kwani anasikia?
Faragha ni ya watu wawili,kutamka Mtu wa tatu Kwa namna yeyote ile huo ni uhaini!yaani umekosa kabisa Cha kumsifia mpenzi wako mpaka uingize vocal ya mama mkwe??mmmh Kwa niaba ya wanawake wote sidhani kama hii inanogesha gemu zaidi itakata stimu acha harakaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…