Utumiaji mbaya wa pikipiki!

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83

Bongo mambo kama haya tutayaona lini kwenye miji yetu?

kitiomoto,kuku,samaki!no comment
 
Hawa jamaa bahili mno ndo maana wanaendelea wabunifu mnoooo
 
Bongo mambo kama haya tutayaona lini kwenye miji yetu?

soon and very soon, mjomba kesha toa ORDER kama ilivyo kawaida yake zijengwe.
 
creative, use what u have creatively!!
sio mtu una li-P/UP likubwa unalitumia kwenda ofisini tu na kurudi home.

Ynataka makitikoto yabebwe na nn sasa!
 
soon and very soon, mjomba kesha toa ORDER kama ilivyo kawaida yake zijengwe.
nimesikia lkn ngoja tusubiri

creative, use what u have creatively!!
sio mtu una li-P/UP likubwa unalitumia kwenda ofisini tu na kurudi home.

Ynataka makitikoto yabebwe na nn sasa!
hahahahahahaha....
 
Sasa huu ndio ujasili akili sio mali,bravo kwa kusumbua akili!!
 
Sasa huu ndio ujasili akili sio mali,bravo kwa kusumbua akili!!
kazi kwelo kweli,
embu pita dar kama hivyo uone hao askari wa kova kama watakuachia!
 
...Teh! teeh! Thanks God..Leo ni furaha dei...
hahahahaha, hapo kama natokea kwa nyuma lazima niachane na safari yangu niwafuatilie mpaka wapotee, hiyo ndiyo tunaita 'fahari ya macho'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…