Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Ni tatizo gani hilo linalokusibu? si ungesema tu pengine ungehitaji mazoezi tu, anyway usihofu mzizimkavu atakuja siyo muda, subiri hapo hapo katika bench kaenda kunywa maji.Nimepata kusikia kuwa mizizi yoyote itumikayo kama dawa, pamoja na kutibu ugonjwa husika, pia huimarisha misuli (dauble advantage), je kuna ukweli wowote?? Na kama zinafaida, kwanini watu wengi hubeza dawa za kimasai ambazo asilimia kubwa ni mizizi?? Pia kama zina madhara, ni yapi hayo?? Nawasilisha kwa wataalam, naamin humu wapo madokta waliosomea vitu mbalimbali, naomba kufahamu kwani kuna tatizo linanisibu na wengi wananielekeza mizizi, naogopa isijekuwa inaondoa tatizo kwa mda,then linajirudia kama mwanzo. Daima JamiiForum imekuwa msaada kwa jamii!
@fadhili paulo Mkuu asante kwa kunisaidia nilikuwa sipo ninaswali sasa nimesha maliza maombi yangu. Ni kuwa inategemea ni mzizi gani unaotaka kutumia wewe na je kwa maradhi ganiNi tatizo gani hilo linalokusibu? si ungesema tu pengine ungehitaji mazoezi tu, anyway usihofu mzizimkavu atakuja siyo muda, subiri hapo hapo katika bench kaenda kunywa maji.
@Fofader Mkuu jaribu uwe mkweli unachozungumza Dawa nyingi za Hospitali zina madhara kwa mwili wa binadamu kuliko Dawa za mizizi za kienyeji. Fanya utafiti kisha uzungumze sio kuponda dawa zetu za asili mkuu jaribu kuwa ni mkweli.Mkuu kuna tawi la kemia linaitwa phytochemistry na uzoefu unaonyesha kwenye miti iwe mzizi, stem au majani kuna aina mbalimbali za chemical compounds kufikia hata mamia!! Kwenye mti mmoja na kwa wingi tofauti.
Tatizo lako linaweza kuwa linatibiwa na mojawapo tu ya compounds iliyomo (dawa) kwenye mzizi, lakini sasa kwa kuwa haijawa extracted inabidi unywe na zile compoun zingine ambazo kwa kweli huzihitaji na nyingine ni SUMU.
Matokeo yake ni kwamba unaweza kuathiri ini lako.
Dawa za hospitali huwa zimeshafanyiwa utafiti wa kutosha na ni ile dwa unayohitaji tu ndio unapewa.
Sipingi mizizi lakini ujue pia kun risk ya aina fulani.
Nakutakia matibabu mema.
Mkuu kuna tawi la kemia linaitwa phytochemistry na uzoefu unaonyesha kwenye miti iwe mzizi, stem au majani kuna aina mbalimbali za chemical compounds kufikia hata mamia!! Kwenye mti mmoja na kwa wingi tofauti.