Utumiaji wa Lugha katika Forums

Utumiaji wa Lugha katika Forums

Kibunango

Platinum Member
Joined
Aug 29, 2006
Posts
8,468
Reaction score
2,349
Inakera na kuudhi na kusumbua sana unapokutana na lugha ya kwenye kuchat katika forums,

Mifano ni kama hii ifuatayo:
  • ebwanae siyo kifupi hivo bucha, enh! 2pe format mzuri je m2 anaanza na ki2 gani na anaishia na wapi, mf. m2 kasoma hadi 4m6, anataka kazi ya customer care/sales aanzeje, aoanishe exp.zake wapi, contakts wapi na n.k! 2pen....

  • Hii inaniremind bak n' dayz wakati shaba yuko fayah!.....

  • jifanyie usalama kivyako, mbna nowadays 2nafite...

  • mmH! hapo patamuuu, cyeetwawasikiiiza sana wakubwa wetu,

  • Peace n' love 2 ol ya ......
 
Kama ndivyo, wa kwanza kuonywa awe ni ndugu yangu mmoja anaitwa Bluray...Hawa ni watu ambao ni barriers to communication process.
 
Mkuu kweli hii ni kero. Kwa wengi wetu ambao kiswahili na kiingereza ni lugha yetu ya pili na ya tatu huwa inachanganya sana. Ujumbe mfupi unachukua muda mrefu kuusoma na kuelewa. Sijui hii inasababishwa na ile hali ya kujiona kuwa mwerevu wa mambo/lugha (Vijana wa siku hizi huita "Matawi ya Juu", kumbe si lolote). Mbona lugha yetu ya kiswahili iko bomba sana tu!
 
Kama ndivyo, wa kwanza kuonywa awe ni ndugu yangu mmoja anaitwa Bluray...Hawa ni watu ambao ni barriers to communication process.

Te te te te ngoja aamke ajibu hizi tuhuma.
 
Inakera na kuudhi na kusumbua sana unapokutana na lugha ya kwenye kuchat katika forums,

Mifano ni kama hii ifuatayo:
  • ebwanae siyo kifupi hivo bucha, enh! 2pe format mzuri je m2 anaanza na ki2 gani na anaishia na wapi, mf. m2 kasoma hadi 4m6, anataka kazi ya customer care/sales aanzeje, aoanishe exp.zake wapi, contakts wapi na n.k! 2pen....

  • Hii inaniremind bak n' dayz wakati shaba yuko fayah!.....

  • jifanyie usalama kivyako, mbna nowadays 2nafite...

  • mmH! hapo patamuuu, cyeetwawasikiiiza sana wakubwa wetu,

  • Peace n' love 2 ol ya ......

mbona kama ndo unatufundisha m2 wangu?
 
Mkuu Kibs,
Wengine vichapaji(keyboards) vyao vimefutika futika,hawaoni vizuri wanabahatisha.
 
take easy bwana kila ki2 ukimaindi hatutafika,, usiwe consecutive kiivo sometime mtu anaamua kufupisha 2 maneno..cha msingi umeelewa.

be easy bro.
 
Kamanda, Hapo umetumia lugha ngapi?
 
take easy bwana kila ki2 ukimaindi hatutafika,, usiwe consecutive kiivo sometime mtu anaamua kufupisha 2 maneno..cha msingi umeelewa.

be easy bro.

consecutive????????
ulimaanisha conservative???
 
Nadhani watu wengine wanatumia hiyo "shorthand" kwa kuwa wanatumia simu zao kutype na kupost JF. Simu nyingi hazina keyboard ya QWERTYUIOP" hivyo mtu anaona bora kufupisha. Kingine pia ila sina uhakika sana ni labda wanapotumia simu wanachajiwa na kampuni ya simu kulingana na idadi ya maneno/ herufi?
 
we andika vyovyote vile ilimradi msg inawafikia walengwa!
 
Kizazi kipya ndo wanapenda hizi shortcut, miziki yao vilevile.
 
Hapo ni tatizo la hii lugha ya wazungu mkuu, wengi sana tu kiingereza ni karibu na sufuri...
Kama huyu hapa...
bao%20la%20matangazo.jpg

Back
Top Bottom