Kama ndivyo, wa kwanza kuonywa awe ni ndugu yangu mmoja anaitwa Bluray...Hawa ni watu ambao ni barriers to communication process.
Inakera na kuudhi na kusumbua sana unapokutana na lugha ya kwenye kuchat katika forums,
Mifano ni kama hii ifuatayo:
- ebwanae siyo kifupi hivo bucha, enh! 2pe format mzuri je m2 anaanza na ki2 gani na anaishia na wapi, mf. m2 kasoma hadi 4m6, anataka kazi ya customer care/sales aanzeje, aoanishe exp.zake wapi, contakts wapi na n.k! 2pen....
- Hii inaniremind bak n' dayz wakati shaba yuko fayah!.....
- jifanyie usalama kivyako, mbna nowadays 2nafite...
- mmH! hapo patamuuu, cyeetwawasikiiiza sana wakubwa wetu,
- Peace n' love 2 ol ya ......

Te te te te ngoja aamke ajibu hizi tuhuma.
take easy bwana kila ki2 ukimaindi hatutafika,, usiwe consecutive kiivo sometime mtu anaamua kufupisha 2 maneno..cha msingi umeelewa.
be easy bro.
Mkuu Kibs,
Wengine vichapaji(keyboards) vyao vimefutika futika,hawaoni vizuri wanabahatisha.
we andika vyovyote vile ilimradi msg inawafikia walengwa!
Hapo juu niaje?
Kama huyu hapa...