Napenda kufahamu kama wanandoa hutumia mipira ya kike/ kiume (kama lile tangazo la familia con*om) linavyosisitiza juu ya upangaji wa uzazi. Je wanandoa hufaidi na kufurahia (enjoy) tendo lao? na je huwa na hisia sawa na kama hawakutumia mpira?
Tafadhali wanandoa nihabarisheni!
Kwa asilimia ngapi wanandoa hutumia mpira?
Je hufurahia tendo?
.......................................................
Wanasayansi waeleza kuwa ukitumia mipira, kuna asilimia 98%, ya kinga, kwa magonjwa ya zinaa, ama kukinga minga. Hiyo asilimia 2, mara nyingi hua ni kutojua matumizi.
Kuhusu hisia, Raha bado utaipata, kwani hisia za mapenzi ni kutoka kwa ubongo wako!!!,
Mwisho, dini nyingi zinakataza matumizi ya mipira, kwani wanasema hio ni kinyume, na ni kama kuua!!!!!
Who cares???????????????????????????????Sasa ushauri wako upi maana hii ni kama program flani ya kuhamasisha uzazi wa mpango, maana hata kutumia vidonge, vpandikizi n.k ni kuua mbegu sasa itakuaje hapo mkuu..................
eee kumbe? mie ndo kwanza nasikia kama dini zinakataza matumizi ya mipira...Wanasayansi waeleza kuwa ukitumia mipira, kuna asilimia 98%, ya kinga, kwa magonjwa ya zinaa, ama kukinga minga. Hiyo asilimia 2, mara nyingi hua ni kutojua matumizi.
Kuhusu hisia, Raha bado utaipata, kwani hisia za mapenzi ni kutoka kwa ubongo wako!!!,
Mwisho, dini nyingi zinakataza matumizi ya mipira, kwani wanasema hio ni kinyume, na ni kama kuua!!!!!
About," sasa mkuu itakuwaje??" au umeshasahau ulichoandika hapo juu nilipoku-quote.About what?????????????
Poa mkuu nilikuwa nakuchemsha tu kdogo. Of coz u care...Hope watakusaidia hapa maana kuna ma-geneous kama Fidel80 na funzadume.I do care !!!!!!!!!!!!!!!!!
Matumizi ya mipira yanakatazwa na dini sababu yanafanya vijana wafanye ngono sana kwani wanajua si watatumia kinga?Pia tafiti nyingi za wadau mbalimbali zinasema kuwa kondom si njia sahihi kuzuia ukimwi kwani zina vitundu vigogo sana na virusi huweza kupenya.Hivyo basi mm nawashauri vijana wenzangu kupunguza ngono.Bora usubiri au uwe na mpenzi mmoja.Lakini kusubiri ndio njia muafaka zaidi