Siku za hivi Karibuni kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa mashabiki Wasafi katika sehemu mbalimbali walisopita na kufanya show kuwa hawapati kile wanachokitarajia kutoka kwa wasanii wanaounda WCB. Mtakumbuka pia si Tanzania peke bali hata WCB walipofanya show huko Kenya mashabiki wamelalamika kuwa show za Wasafi zimekuwa za ovyo ovyo. Wasanii wanapanda jukwaani Wala hawafanyi chochote zaidi ya kuwaimbisha mashabiki waliokuja.
Katika hili Pombe imetajwa Kama chanzo Cha wasanii Hawa kushindwa kufanya vitu jukwaani. Inasemekana huwa wanaingia jukwaani wakiwa wamelewa chakali
Mbona hiyo picha moja hata wasafi festival haikuwa imeanza, unatuaminisha vipi ni ushahidi wa huyo msanii na DJ wake walikunywa pombe kabla ya kupanda jukwaani
Mbona hiyo picha moja hata wasafi festival haikuwa imeanza, unatuaminisha vipi ni ushahidi wa huyo msanii na DJ wake walikunywa pombe kabla ya kupanda jukwaani
Afadhali wao wanapiga hizo, sisi huku wapiga mnanda tunapiga ile ngumu kumeza kwa Mama Muuza halafu tunashtua na cha Uyole ndio kueleweke.
One day yes. Na sisi tutafikia level hizo tu.
Unajua nowadays mziki uko fake sana. Studio ndo zinamaliza utamu wote.. ngoma nyingi mpaka za mbele zimebebwa na studios tu. Tofauti na akina Fugees na huko nyuma kabisa akina ABBA. So ukisema uimbe ngoma yako uloinogesha na Beats za producer mkali ukaiimba na Band eti ni hatari sana. Lazima uwe fundi sana.