Utumiaji wa Simu mashuleni

Utumiaji wa Simu mashuleni

Sheria ipo, Ndiyo maana wanatumia kwa kujificha ficha.

Nini kifanyike?
Wadau wanakuja kumalizia.
 
Kwann mtt asitumie simu wakat dunia ipo kweny mapinduz ya technologia ya mawasilian ndo maan tuna achwa nyuma

Serikal ingeachana na mambo ya kale una hamasishaje wanafunz kusoma ICT wakat na unaanzish comb zinazo include computer science wakat uo wanafunz uwaruhus kutumia simu
 
Huoni ni sabab ya baadh ya wazaz kulegalega kuwazuilia watot wao?
Mimi nasemea kwa boarding scholar .
Mwanafunzi anapoenda shule umempatia hela ya matumizi either anweza ondok na simu kutoka home au akifika shule ananunua simu akiwa huko huko hapo sio jukum la mzazi tena maana malezi ya mwanafunzi akiwa shule n jukumu la walimu.
 
Wanafunzi wananunua wao kama shule ipo karib na maduka wanatoroka kwenda kununua hapo mzazi hana hatia maana hawezi jua tabia ya mwanae akiwa shule ikoje
Basi wazaz wasiwape ela kubwa watot maan mahitaj yote yanaptikan shulen ,itasaidia kam sio kuondoa kabs tatzo ivo wazaz no first point
 
Basi wazaz wasiwape ela kubwa watot maan mahitaj yote yanaptikan shulen ,itasaidia kam sio kuondoa kabs tatzo ivo wazaz no first point
Mtoto ana njia njingi za kupata hela kwa mzazi haijarishi hiyo hela itapitia kwa mwalimu ila anaweza kutumia uongo wake kupata hela maanza simu zenyewe ni kuanzia 20k kwa walio soma boarding haya mambo wanayajua cha msingi n walimu kutilia makazo hilo jambo basiii
 
Kwanini sheria ya wanafunzi kutumia simu mashuleni haiwekewi vigezo na masharti
kuzingatiwa ?
Kisa wewe umemaliza shule unaona wanao tumia kwa sasa wanafaidi sana.
Waache watumie unataka bodaboda na wauza chips wawasiliane nao vipi?
 
Mtoto ana njia njingi za kupata hela kwa mzazi haijarishi hiyo hela itapitia kwa mwalimu ila anaweza kutumia uongo wake kupata hela maanza simu zenyewe ni kuanzia 20k kwa walio soma boarding haya mambo wanayajua cha msingi n walimu kutilia makazo hilo jambo basiii
Kwahy mwalimu ageuke kuwa mzazi kumkemea mtot mshahar mtamuongezea!?
 
Mimi ni mojawapo ya wanafunzi walioenda shule na simu. Nikiwa A level nilimiliki simu tatu tofauti, moja iliibiwa nyingine niliuza ukouko nyingine nilinunua mjini. JF nilikuwa naingia vizuri kabisa maana siwezi kaa bila taarifa za kinachoendelea. Madogo wengi walinitumia kupokea hela wanayotumiwa na wazazi wao ambao kwenye vikao vya shule walikuwa wanalaani umiliki wa simu. Msimu wa likizo shule inawataka walipe nauli za shuttle/mob ila haijui wasio na kadi za benki watapokeaje hela
 
Back
Top Bottom