kufanakupona
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 522
- 421
Watoto hawakukimbii mtaani?jichane mahali....alafu kinga kwenye dumu la lita tano......ikifika lita3 basi ujue una nyingi.....ikiwa chini ya hapo ujue huna kitu
Mkuu watoto tu kwa ujizi huo na wakubwa wanamkimbia.!Watoto hawakukimbii mtaani?
mbona njia ya kawaida tu hiyo wakuu!Watoto hawakukimbii mtaani?
Shukrani Mkuu.<< funua jicho ukiona ni jeupee ujue kuwa damu iko kidogo ukiona jekundu unayo ila nenda hosp.kwa vipimo zaidi>>
Unazingua.mbona njia ya kawaida tu hiyo wakuu!