Wadau mambo Vipi? Mimi nina Shahada ya Masoko ila Utumishi nafasi walizotangaza za Afisa Biashara ii nikiomba naambiwa sina vigezo je shida nin? Vigezo hivyo hapo.
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya Juu ya Biashara waliojiimarisha katika fani ya Masoko, au Uendeshaji Biashara kutoka katika Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali