Acha kupotosha watu wewe kama hutaki kazi waache wengine wajaribu bahati zaoShida mnakomaa kuomba kazi za watu ambae mafile yao yameshapigwa mihuli wa navuta mda tu wayaweke kwenye computer
Mkuu ile system.yanutumishi ni matching system ...yaan inataka taarifa zako za academic qualification zi match exactly na wao walicho kiandikaWadau mambo Vip? Mimi nina Shahada ya Masoko ila Utumishi nafasi walizotangaza za Afisa Biashara ii nikiomba naambiwa sina vigezo je shida nin? Vigezo hivyo hapo.
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya Juu ya Biashara waliojiimarisha katika fani ya Masoko, au Uendeshaji Biashara kutoka katika Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali
What if nina two degrees?Mkuu ile system.yanutumishi ni matching system ...yaan inataka taarifa zako za academic qualification zi match exactly na wao walicho kiandika
Haan kama wao ktk qualification walisema wanataka mtu mwenye BBA in marketing basi ww mwenye B in Marketing system ina kutoa ili hali ukisoma yale majukumu ya iyo post ata watu wa marketing wana pigaa.....
Hapo ku solve huwezi, zaman wengi walikuwa wana rejeanktk academic qualification alafu wana adjust ili imatch na system lkn ukifika ktk usaili kule mzee hutoingia watakutoa watakwambia umechezea system
Sasa hapo mkuu ni wao na system yao korofiWhat if nina two degrees?
Mfano mwaka 2018 nilipata Bachelor of economics na mwaka huu nikapata BBA marketing,nimeaply kazi ya afisa biashara.wataangalia degree ipi, ya kwanza niliyoipata 2018 au hii ya mwaka huu?
Hatareee mkuuKama mm nina Bachelor Degree of Science in Economics and Finance. Nikiomba Uchumi, Financial Management Officer, planning Officer eti inagoma wakati. Wamejiwekea categories kwa kutokujua vyuo vya Tanzania vina kozi zipi walijiandikia tu.
Nouma sana mkuuHii system haipo Sawa Kabisa....Inachekesha kama sio kusikitisha.
system imesetiwa ingekua business administration in marketing sawa lakini bachelor degree ya marketing tu system inakutema syatem yao unatema watu wengi sana ambao kimaono wamequalifyWadau mambo Vipi? Mimi nina Shahada ya Masoko ila Utumishi nafasi walizotangaza za Afisa Biashara ii nikiomba naambiwa sina vigezo je shida nin? Vigezo hivyo hapo.
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya Juu ya Biashara waliojiimarisha katika fani ya Masoko, au Uendeshaji Biashara kutoka katika Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali
Mimi ni Bachelor of Commerce in Marketing ila imegoma..system imesetiwa ingekua business administration in marketing sawa lakini bachelor degree ya marketing tu system inakutema syatem yao unatema watu wengi sana ambao kimaono wamequalify
u
Pigen simu ....wanarekebishaaaWadau mambo Vipi? Mimi nina Shahada ya Masoko ila Utumishi nafasi walizotangaza za Afisa Biashara ii nikiomba naambiwa sina vigezo je shida nin? Vigezo hivyo hapo.
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya Juu ya Biashara waliojiimarisha katika fani ya Masoko, au Uendeshaji Biashara kutoka katika Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali
Simu ipo busy kuanzia Asubuhi mpaka jioni. Vip mkuu wew ulifanikiwa kuwapata hewaniPigen simu ....wanarekebishaaa