Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kuna interview zimeanza Jana Kada ya afya ila Kuna baadhi ya wasimamizi sijui ni kwa maksudi ama bahati mbaya wameamua kuharamisha mchakato mzima wa usahili.
Natolea mfano kituo cha Zanzibar Unguja kuna watahiniwa wameruhusiwa kufanya interview wakiwa hawana leseni za MCT Bali Wana leseni za Zanzibar ambazo huku Tanganyika hazitambuliki wakati huo huo huku bara Kuna watu wamezuhiwa kufanya usahili kisa tu hawana hiyo leseni japokuwa mchakato mzima wa kulipia hiyo leseni ushafanyika na wameshakuwa registered na MCT kama madaktari isipokuwa tu leseni haijatoka kwa muda muafaka.