Utumishi mjiongeze kwa hili kwa suala la usaili kufanyika Dodoma pekee

Wana hofu ya wizi wa mitihani itakuwa kuwa mkubwa
 
Kama ni written watumie hata Quiz creator inafaa.Ila kama mtandao mbovu utalia maana muda ikiisha tu inajifunga chap.
Kwa njia ya mtandao hii ni ngumu sana kwa hapa bongo......ama kama vipi wafanye kama mitihani ile ya taifa inavyosimamiwa,then kwenye oral ndio waende Dodoma
 
Aisee hapa umeongea vema sana. Kwasababu taasisi hizi ni za kitaifa zinaweza kutumia wawakilishi wake mikoani wakashirikiana na Sekretarieti kusimamia usaili kwenye mikoa au angalau wafanye kwa kanda
 
Tz inatakiwa kubadilika inatakiwa kuanza kufanya online interviews ya kwanza ili kutowaingiza loss ma jobless ambao hawana kitu , mbona kipindi cha COVID-19 iliwezekana .
 
Aisee hapa umeongea vema sana. Kwasababu taasisi hizi ni za kitaifa zinaweza kutumia wawakilishi wake mikoani wakashirikiana na Sekretarieti kusimamia usaili kwenye mikoa au angalau wafanye kwa kanda
Sio lazima mkusanyike mfanye interviews kizamani, interviews ya kwanza written inatakiwa iwe online interviews ambayo unaweza fanyia kwenye smartphone au pc kisha second interviews ndo mnaweza kwenda wanapohitaji hii ni kwa kuanzia tu maana tz tunajivuta sana kweny tech, na hii inawezekana maana kipindi cha COVID-19 baadhi ya taasisi kama NMB-Bank walitumia online interviews kufanya written interviews na walifanikiwa 100% na sio kuwapotezea watu muda na pesa kwa kuwaita sehemu moja mwisho wa siku second interviews wanaitwa wachache
 
Hao wahusika wajitathmini. Wawaonee jobless huruma
 
Pia acheni kutumbua mkopo wenu woote mkiwa chuo mkijua familia zenu hangaifu kwakipato
 
Basi itabidi mtupe location zenu tutaweletea mitihani nyumbani ndugu zetu walalamikaji.
 

Kwanini wasiingie makubaliano na chuo kikuu huria ambacho kina matawi mikoan nchi nzima hadi unguja na pemba. Watu wakawa wanafanyia mtihani kutoka katika maeneo yao husika alafu usahili wa vitendo (oral) ukafanyika kikanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…