Utumishi mmefunika kombe? Kwanini Watumishi wa ajira 2014 - 2017 wawekwe daraja moja?

Daraja linaanza 1/6/2021.
Ila kubadilika salary inategemea na usharp wa HR wenu
HAKUNA CHA DARAJA, HAKUNA HR ANAWEZA KUPANDISHA DARAJA SABABU MFUMO WA LAWSON UMEKUFA. MTASUBIRI SANA
 
Kuna wa 2017 waliopandishwa?
 
Mwendazake (R.I.P) alivuruga Sana nchi, ikiwemo sheria na mikataba ya kazi.
Ndio maana wizara zake alizowahi kuongoza zilikuwa zikilipishwa fidia na faini kwenye hukumu za kesi za ndani na nje kwa maamuzi aliyoyafa ya.
 
Ila wewe ni bongolala kabisa, unaweka mtandaoni barua yako ya conf na ukaacha kumb.Na hadharani? Mwajiri wako akuchukulie hatua kali sana.. na kwa hiyo Kumbukumbu Namba huchomoki
Kupanda cheo nayo ni siri?
Jwtz wanapewa vyeo uwanjani kabisa Ikulu au Monduli chuoni tena kwa sherehe kubwa na makamera kibao.
 
Watumishi wameanza zengwe zao sasa yaani mizengwe tu wakipandishwa shida wasipo pandishwa napo shida tu
 
Kha na nyie walimu shukuruni kwa icho mlichokipata,mlikaa miaka mitano bila kupanda misharaha,leo mnapandishwa daraa kwa ajili ya kubadiliashiwa mshahara mnalalamika,Kuweni na shukrani mkiwa kashifu ivyo mnakosea na pia mnawavunja moyo hata kwa uko mbeleni kuja kuwafikiria kuwapandishia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…