Utumishi mmefunika kombe? Kwanini Watumishi wa ajira 2014 - 2017 wawekwe daraja moja?

Ulishawahi kuona barua zao mtandaoni

Sio mitano ni saba
 
Ila wewe ni bongolala kabisa, unaweka mtandaoni barua yako ya conf na ukaacha kumb.Na hadharani? Mwajiri wako akuchukulie hatua kali sana.. na kwa hiyo Kumbukumbu Namba huchomoki
Ni pm niione
 
Mwendazake (R.I.P) alivuruga Sana nchi, ikiwemo sheria na mikataba ya kazi.
Ndio maana wizara zake alizowahi kuongoza zilikuwa zikilipishwa fidia na faini kwenye hukumu za kesi za ndani na nje kwa maamuzi aliyoyafa ya.
Alikuwa hafuati Ikama ya Kiutumishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…