Cute sall
Member
- Dec 1, 2022
- 15
- 21
Mheshimiwa Jenista Mhagama hivi karibuni alinukuliwa akiuleza Umma kuwa wata Ajiri kupiti mfumo hifadhi wa Utumishi takribani nafasi 1769 zitatumika kua Ajiri kupitia Data base ya utumishi mwezi February 2023
Hivyo nawaomba utumishi kutomuangusha Mheshimiwa na kumfanya aonekane muongo.
Endapo kuna changamoto yoyote kulingana na vikao vyenu ni vyema ikatoka kauli mbadala kabla ya February ili kuendelea kuidumisha heshima ya Idara yenu na ya Mheshimiwa pia.
Hata hivyo niwaombe utumishi kufuatilia kwa karibu mno watu wote ambao hawaja report makazini kwa muda wa taratibu zenu ili kujua sababu za kuto report kama zina tija zifanyiwe kazi na kama hazina tija nafasi hizo zirudi kwa wenye sifa ikiwezekana kuwe na kitengo hicho cha ufuatiliaji,tusisubiri mpka lifike na kusemwa na mheshimiwa Raisi litapoteza mno imani yake kwenu.
Ni jambo gumu kutozifanyia kazi nafasi zilizo wazi katika idara/tassis hali ya kuwa idara imetumia nguvu nyingi kuomba kibali hicho cha ajira na watu mnao katika Database yenu/Kuzitangaza upya
Nawatakia utumishi mwema katika kutekeleza majukumu yenu mungu awabariki.
Ni ushauri tu.
Tanzania yetu sote
Kazi iendeleeee