Kadoli
New Member
- Nov 8, 2022
- 3
- 4
Poleni sana msiba mzito wa mtumishi mwenzenu kazi ya mungu haina makosa
Hongereni kwa kazi njema mnayoifanya ya kuwapigania watoto wa maskini nao kupata fulsa katika taasisi mbali mbali
Ila hapa TPA mlileta watumishi wapya katika matangazo mawili ya walioitwa kazini ambao ni security guard ,operator na security assistant ni jambo jema mno ila tangu vijana hao waripoti kwa mwajiri wao hakuna kinachoendelea hadi sasa wapo katika kusikilizia utaratibu hadi leo.
Inasemekana bado mamlaka inawadai watumishi katika nafasi za security assistant (3) na security assistant officer (1) wanawasubiri watu hao ili wanze semina kwa pamoja hivyo kama nguvu kazi hizo hazipo ni imani yetu mtawatangazia upya na vijana wenye sifa waweze kujaza nafasi hizo huku mchakato wa hawa ambao tayari ukiendelea kuhakikisha wanaingia katika majukumu ya kulijenga taifa.
Nawapongeza kwa kazi nzuri mnayoifanya mungu awabariki sana vijana.